Dawa ya Kumfanya Mwanaume Uliyenaye Akuoe Haraka

Mkono wa msichana ukiwa umeshika karatasi.

Kama una mahusiano na mwanaume na unaitaka ndoa, dalili za ndoa hazionekani suluhisho limepatikana. Ipo dawa ya kumfanya mwanaume uliyenaye akupende sana, na hatimaye atangaze ndoa yeye mwenyewe. Vifaa unavyohitaji vipo katika mazingira yako na huwezi kuvikosa.

Kufahamu kuhusu dawa hii na jinsi ya kufanya ili kuleta mafanikio, tazama katika video hii iliyojaa maelekezo ya kina:

Baada ya kumaliza kufanya dawa yako, zingatia mambo haya:

Hakikisha siku zote unakuwa msafi muda wote.

Usigombane na mpenzi wako.

Usichepuke hovyo na wanaume wengine. Kwa kufanya hivi, unahatarisha afya yako na ya mpenzi wako.

Baada ya muda wa mwenzi mmoja tangu ufanye dawa hii, muulize ana mpango gani kuhusu ndoa na wewe.

Shuhuda

Aisha alikuwa katika mahusiano ya muda mrefu na mpenzi wake. Uchumba ulidumu kwa zaidi ya miaka 10 bila ndoa. Ndipo aliposoma elimu hii, akafanya haraka. Hakutaka kufanya peke yake, alinishirikisha na niliongeza nguvu katika kufanya dawa. Hakuchukuwa muda, ndani ya mwezi mmoja ilitangazwa ndoa na hivi sasa ameolewa, tena na mume wa ndoto zake.

Ushuhuda mwingine ni wa msichana Amina, yeye alikuwa na mpenzi wake ambaye alibadilika baada ya kuwa naye kwa miaka mitano. Aisha hakukubali kuchezewa miaka mitano kisha aachwe na aolewe mtu mwingine. Alikutana na elimu hii na kufanya dawa. Hakuchukua muda, aliolewa na sasa wanalea watoto.

Hakuna jambo linaumiza wanawake kama kutumiwa na mwanaume kisha unaachwa na anakwenda kuolewa mtu mwingine. Hata hivyo, unaweza kuepusha jambo hili kwa kutumia vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako: vifaa kama chumvi, karatasi, glass na maji vitakuondolea simanzi. Pia hakikisha muda wote unakuwa safi, mwenye heshima na usiye na migogoro.

Kwa hivyo hata wewe bado hujachelewa, fuata maelekezo yaliyotolewa na utafanikiwa katika jambo lako.

Kama nilivyoeleza, unaweza kufanya dawa hiyo peke yako, au unaweza kuwasiliana nami ili niweze kuongeza nguvu kwa gharama kidogo sana. Majibu utayapata ndani ya miezi mitatu tu.

Anayetaka usaidizi katika ufanyaji wa dawa hii, awasiliane nami kwa Kugusa Hapa.

Comments